RSS

About

Ni hapa. Ndio utaweza kuamua kama kweli unataka kuwa MWEREVU MNO. Kama binadamu uliye huru, hakuna atakaye kulazimisha kusoma kile tunachofikiria kitakusaidia Chagua ni lako. Ila tu, tunakuomba uwe mwenye kupenda kusoma na kuongeza maarifa.

Lengo letu ni kusaidia mwanadamu aishi maisha bora, hapa duniani na hata baada ya kuiaga dunia. Tunahakika kuwa, ikiwa utafungua macho usome nasi, basi utatushukuru sana pale maisha yako yatakapobadilika kuwa bora.

Tumeweza kukuletea kitabu ambacho ukikisoma kwa makini, basi unaweza kuwa na mafanikio katika nyanja zote za maisha; kidini, kijamii, kiuchumi, n.k. Kitabu chenyewe kinaitwa They are Either Extremely Smart or Extremely Ignorant” na kwa mara ya kwanza katika historia kimefasiriwa kwa lugha ya Kiswahili kwa jina “Wao Ima ni Waerevu Mno au Wajinga Mno”.  Ili upate maelezo zaidi kuhusu kitabu, bonyeza hapa na ili upate maelezo zaidi kuhusu mwandishi wa kitabu, bonyeza hapa.

Advertisements
 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

 
%d bloggers like this: